Mwandishi wa vitabu na mtunzi wa mashairi Richard Mabala ameiambia BBC ni lazima kukubali kua lugha inakua hivyo maneno mapya yanazaliwa kutokana na namna vijana wanavyowasiliana sasa hayana budi ...