Shambulio la Marekani na Israel dhidi ya Iran linaangaziwa kwenye Mkataba wa Umoja wa Mataifa. Kifungu cha 2(4) kinajitokeza wazi katika hali ya sasa. Ni kwa namna gani hasa? Kifungu cha 2(4) cha ...
Rebeca Grynspan, makamu wa rais wa zamani wa Costa Rica na anaepigiwa upatu kuwa Katibu Mkuu wa kwanza mwanamke wa Umoja wa Mataifa amesema iwapo usawa utaziba pengo la ubaguzi, Umoja huo hatimaye ...